Bahati haikuwa kwa Simba na dakika ya 48 Kalama Debossi akapachika goli la ushindi kwa URA lililodumu kwa dakika zote 90 na kufanya ubao wa matokeo usomeke 1-0, nyota wa Simba Shiza Kichuya aligoma kukaa kwenya benchi la timu yao baada ya kocha kumtoa dakika ya 53 na kuingia MO Ibrahim.
mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Jumatatu, 8 Januari 2018
Simba ndio basi tena Mapinduzi Cup 2018, Kichuya akigoma kurudi benchi
Bahati haikuwa kwa Simba na dakika ya 48 Kalama Debossi akapachika goli la ushindi kwa URA lililodumu kwa dakika zote 90 na kufanya ubao wa matokeo usomeke 1-0, nyota wa Simba Shiza Kichuya aligoma kukaa kwenya benchi la timu yao baada ya kocha kumtoa dakika ya 53 na kuingia MO Ibrahim.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni