Jumapili, 7 Januari 2018

#MapinduziCup2018 Mpira umekwisha, Yanga inaondoka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Zimamoto na kufikisha ushindi wa nne katika mashindano hayo ikiwa na pointi 12. Kesho ni: Simba vs URA, Yanga vs Singida United.

Image may contain: text

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni