kutoka katika Mtandao wa World Ranking ambapo umemtaja Yu Zhenhuan wa
China kuwa ndiye mwanaume mwenye nywele nyingi zaidi duniani.
Mwili wa Yu Zhenhuan umefunikwa na nywele nyingi tofauti na binadamu
wengine hali iliyosababishwa na yeye kuwa na ugonjwa unaofahamika
Hypertrichosis.
Sasa anataka kuondoa sehemu muhimu ya nywele kutoka kwenye mwili wake.
Lakini nywele zote zitahitajika kuteketezwa kwa laser na utaratibu huu
utamsababishia maumivu makali sana katika mwili wake.
Yu Zhenhuan amekuwa kwa muda mrefu anaishi na mkewe ambaye amekuwa
akimsaidia kupata njia ya kumwezesha kupunguza nywele katika mwili wake
huo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni