Alhamisi, 25 Januari 2018

BILIONI 660 zimetolewa na Serikali kuboresha Jiji la Dar es salaam



 January 25, 2018 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo amezungumzia mradi wa maendeleo ya uboreshaji Jiji la Dar es salaam Mradi unaogharimu takribani Tsh Bilion 660.
“Kwa kuimarisha Jiji la DSM, tunakuja na mradi wa DMDP kwa ajili ya kuboresha miundo mbinu ya DSM, katika jiji hili tunajenga mtandao wa barabara za lami zenye urefu wa kilometre210 na zitajengwa katika Manispaa zote tatu za DSM,”-Waziri Jafo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni