Jumanne, 12 Septemba 2017

Rais JPM kafika Lugalo kumjulia hali Meja Jen. Mstaafu aliyepigwa risasi By Makoleko TZA on September 12, 2017



Jumanne ya September 12, 2017 Rais Magufuli ametembelea hospitali ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Lugalo, Dar es Salaam na kumjulia hali Meja Jen. Mstaafu Vincent Mribata aliyelazwa hospitalini hapo baada ya kushambuliwa na watu wenye silaha wakati akiingia nyumbani kwake Ununio, Kinondoni.
Meja Jen. Mstaafu Mritaba alishambuliwa kwa risasi jana September 11, 2017 mchana ambapo alikimbizwa katika hospitali ya Jeshi Lugalo kwa matibabu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni