Jumatatu, 11 Septemba 2017

Rais Magufuli Amwapisha Jaji Mkuu wa Tanzania



 RAIS Dkt. John Magufuli amemwapisha Prof. Ibrahim Juma kuwa Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akichukua nafasi ya Jaji Mkuu Mstaafu, Othman Chande.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni