Taarifa zilizoifikia mwana wa liganga blogspot muda huu kuhusiana na mchekeshaji MC Pilipili amepata ajali ya gari akiwa katikati ya Nyasamba na Bubiki mkoani Shinyanga.
MC Pilipili amepata ajali akiwa kwenye garia aina ya Prado na kukimbizwa hospitali
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni