mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Jumanne, 22 Agosti 2017
Yanga yatua Dar
Kikosi cha Yanga kimetua jijini Dar es Salaam tayari kwa ajili ya mechi ya kesho dhidi ya Simba.
Mechi hiyo ya Ngao ya Jamii inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka nchini.
Yanga ilikuwa kambini mjini Pemba kujiandaa na mechi hiyo na msimu mpya wa 2017-18.
Hata hivyo, Yanga wamekuwa wakifanya siri sehemu waliyofikia kwa ajili ya kambi ya mwisho kwa ajili ya mechi hiy
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni