Simba imefanya mazoezi yake ya mwisho leo kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam.
Hayo yanakuwa ni mazoezi ya mwisho kabla ya Simba kushuka Uwanjani kesho kuivaa Yanga ambao ni mabingwa wa Tanzania Bara.
Mechi hiyo ni ya Ngao ya Jamii na inachezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni