
Taarifa zilizonifikia kutoka Bunda katika Mkoa wa Mara zinasema kuwa Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya amekamatwa na Jeshi la Polisi Mara kwa agizo la Mkuu wa Wilaya Tarime Glorious Luoga.
tunaendelea kufuatilia na kinachoendelea ili kupata taarifa zaidiā¦
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni