Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limesema limepokea kwa masikitiko
taarifa ya kufukuzwa kwa waandishi wa habari wa TBC wakati wakitimiza
wajibu wao
katika ofisi za Makao makuun ya Chama cha Demokrasia na Maendelea (CHADEMA) zilizopo ofisi za Kinondoni jijini Dar es salaam.
Soma taarifa kamili:
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni