Tiketi za kushuhudia mpambano wa masumbwi kati ya bondia, Floyd Mayweather dhidi ya Conor McGregor zinauzwa kwa dola 150,000.
Mpambano huo unatajwa kuwa wa gharama zaidi kuwahi kutokea na tiketi kwa sasa zinauzwa kama njugu.
Mayweather mwenye miaka 40 awali alistaafu lakini amerejea kupambana na McGregor.
Unaweza ukanunua na wewe Tiketi yako HAPA ili ukashuhudie pambano hilo la kukata na shoka.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni