Msanii wa muziki wa hip hop, Darassa aliyetamba na ngoma ya ‘Muziki’ anatarajiwa kutumbuiza Jumapili hii katika mechi ya fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam ambao unachukua zaidi ya mashabiki 20,000.
mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Jumapili, 11 Juni 2017
Darassa kutamba mbele ya mashabiki 20,000 wa SportPesa Super Cup
Msanii wa muziki wa hip hop, Darassa aliyetamba na ngoma ya ‘Muziki’ anatarajiwa kutumbuiza Jumapili hii katika mechi ya fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam ambao unachukua zaidi ya mashabiki 20,000.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni