Jumatatu, 10 Septemba 2018

LIVE: Rais Magufuli kuhitimisha ziara yake Kanda ya Ziwa


LIVE: Rais Magufuli leo anahitimisha ziara yake Kanda ya Ziwa kwa kufungua miradi mbalimbali. Leo yuko katika daraja la Mto Sibitu, mpakani mwa Mkoa wa Simiyu na Singida. Matangazo haya pia yako MBASHARA #AZAMTWO 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni