Mabingwa wa soka Tanzania, Simba
wamefuzu kucheza fainali ya SportPesa Super Cup baada ya kuichapa
Kakamega Homeboyz kwa mikwaju 5-4.
Mechi hiyo iliisha kwa sare ya bao 0-0 katika hatua ya dakika 90 za kawaida.
Baada ya hapo ikawa ni mikwaju ya
penalti na wachezaji wote watano wa Simba walifunga wakiongozwa na Jonas
Mkude ambaye alifunga penalti ya mwisho.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni