Jumapili, 10 Juni 2018

SALAMU MUHIMU:

Image may contain: 4 people, people smiling, people standing and outdoor
 Makamu wa Rais, Samia Suluhu akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la KKKT, Dkt. Fredrick Shoo mara baada ya kuwasili kwenye Ibada ya Kuzindua Dayosisi ya Magharibi Kati na kumweka wakfu Askofu mteule, Dkt. Isaac Kissiri Laiser mkoani Tabora leo, Jumapili.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni