Ijumaa, 8 Juni 2018

Mwili wa ‘Sam wa Ukweli’ ulivyotolewa Mwananyamala kuelekea Bagamoyo

Leo June 8, 2018 Mwili wa marehemu Salum Mohamed maarufu Sam Wa Ukweli umetolewa chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya Mwananyamala tayari kwa kuelekea Bagamoyo, Kiwangwa mkoani Pwani ambapo ndipo mazishi yatafanyika.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni