Jumatano, 6 Juni 2018

FLYOVER YA TAZARA KUZINDULIWA SEPTEMBA




 Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema, Flyover ya TAZARA huenda ikazinduliwa rasmi mapema mwezi Septemba mwaka huu.
Barabara hiyo ya Juu hadi sasa inadaiwa kuwa katika hatua za mwishoni.
Waziri Mbarawa ameishukuru Serikali ya Japan na Mkandarasi wa Kampuni ya Sumitomo Mitsui Construction Co. Ltd, wakati alipofanya ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi huo, leo jijini Dar es Salaam

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni