Ijumaa, 8 Juni 2018

#FAHAMU Watu wa jamii ya 'Mangbetuwalikuwa na utamaduni wa kuchonga vichwa na kuwa virefu kama status ya familia inayojulikana kama ‘Lipombo

Image may contain: one or more people

 ·
#FAHAMU Watu wa jamii ya 'Mangbetu' ambao walikuwa wakipatikana katika msitu wa Kongo, walikuwa na utamaduni wa kuchonga vichwa na kuwa virefu kama status ya familia inayojulikana kama ‘Lipombo’, lakini baadaye iligeuka kuwa kama urembo.
Kwenye jamii hiyo mtoto akizaliwa hufungwa na kitambaa kigumu kwa nguvu akiwa bado mchanga, ili kuwezesha fuvu lake la kichwa kuchongoka na kuwa refu.
Utamaduni huu ulikuja kupotea baada ya wabelgiji kuanza kuwatawala na mpaka sasa haupo tena.

Image may contain: one or more people and closeupImage may contain: one or more people and closeup







Image may contain: 2 people

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni