MSF imesema wakazi wengi wa mji wa Bani Walid wakiwemo askari, wafanyakazi wa hospitali wa manispaa na wazee wa mji huo walijaribu kuwalinda wahamiaji hao waliokuwa wakiandamwa na watu waliokuwa na silaha waliojaribu kuwateka tena.
Wengi wa wahamiaji na wakimbizi hao wanaoshikwa mateka nchini Libya ni vijana wanaotoka Eritrea, Ethiopia na Somalia wanaojaribu kufika Ulaya kutafuta hifadhi. Wengine wanaripotiwa kuzuiliwa kwa zaidi ya miaka mitatu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni