Jumapili, 27 Mei 2018

UDHAMINI WA RWANDA KWA ARSENAL WAIKERA UHOLANZI:

Image may contain: 3 people, people standing and beard

 Bunge la Uholanzi limekerwa na udhamini wa Rwanda kwa klabu ya Arsenal ya Uingereza kwa kudai "Inakuwaje nchi inayopokea misaada mingi kwaajili ya kumaliza umasikini inaingia mkataba ghali kiasi kile?"

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni