“Mtu analaumiwa wala sio mkosaji Wizara ya fedha kuna mambo yanaendelea huko sasa sisi tunakuwa hatujui tunawaona nyie wabaya, kwa nini ukae na hela mtu anakuomba, anakulambalamba na hela ni yake, ebu mjitathmini” amesema Spika Ndugai
mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Alhamisi, 24 Mei 2018
Spika Ndugai awafungukia Wizara ya fedha ‘Mtu anapigwa tu! anagugumia!’
“Mtu analaumiwa wala sio mkosaji Wizara ya fedha kuna mambo yanaendelea huko sasa sisi tunakuwa hatujui tunawaona nyie wabaya, kwa nini ukae na hela mtu anakuomba, anakulambalamba na hela ni yake, ebu mjitathmini” amesema Spika Ndugai
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni