
gari aina ya toyota land cruser yenye namba za usajili SU 33397 limeigonga garimoshi katika kijiji cha kalengakelu mkoani morogoro , halmashauri ya wilaya kilombero katika mji mdogo wa mlimba.
wakizungumza na mwandishi wa mwana wa liganga blogspot.com baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo wamesema kuwa chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa dereva wa gari toyota land crusser kuto simama katika eneo la kupishania
crossing .hakunamtu aliyepoteza maisha katika ajali hiyo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni