Jumapili, 27 Mei 2018

PIGO: SALAH "HATI HATI" KUCHEZA KOMBE LA DUNIA


Mshambuliaji na nahodha wa timu ya taifa ya Misri, Mohamed Salah anapaswa kusubiri majibu ya madaktari kujua iwapo ataweza kushiriki michuano ya Kombe la Dunia.

Hilo limetokana na kuumia bega kwenye mchezo wa fainali wa UEFA Champions League dhidi ya Real Madrid C.F. ambapo alilazimika kutolewa kwenye dakika ya 30 na kushuhudia Livepool ikibugizwa mabao 3-1.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni