Jumanne, 22 Mei 2018

Picha: Rais wa TLS, Fatma Karume akutana na kufanya majadiliano na IGP Sirro

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini(IGP), Simon Sirro amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Fatma Karume.

IGP Sirro amekutana na Fatma aliyefika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kwa lengo la kujitambulisha tangu alipochaguliwa kuongoza Chama hicho ambapo pia walijadiliana masuala kadhaa ya kisheria.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni