
Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama na mkewe Michelle wako kwenye mchakato wa kuigiza kwenye filamu itakayoandaliwa na kampuni ya Netflix.
Bado haijawekwa wazi 'aina ya filamu na maudhui' watakayoigiza "wasanii hao wapya" lakini haitarajiwi kwa familia hiyo kuifanya tasnia ya filamu kuwa kazi ya kudumu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni