Ajali hiyo imetokea Jumanne.
Mkurungezi wa al Khunfa Saud al Shamri na Jodeid al Shamlani, rubani msaidizi Mohammed bin Mofleh Qathami na Mojzaa al-Shamri wamefariki katika jali hiyo.
Hakuna taarifa ilitolewa kuhusu sababu zilizopelekea ajali hiyo.
mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni