“Inaonesha katika nchi yetu kuna viashiria vya ugaidi, ninaangalia matukio ya Kibiti, watu kupotezwa na watu wasiojulikana, watu kupigwa risasi hii ni dalili kwamba kuna udhaifu mkubwa sana wa kitengo cha upelelezi katika Jeshi la Polisi. Ukiangalia mitandao hata leo hii watu wanasema kwamba kuna maeneo katika nchi yetu yanalindwa na majeshi kutoka Ruanda” –Joseph Selasini
mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Jumatatu, 14 Mei 2018
“Nchi yetu inaviashiria vya ugaidi” –Joseph Selasini
“Inaonesha katika nchi yetu kuna viashiria vya ugaidi, ninaangalia matukio ya Kibiti, watu kupotezwa na watu wasiojulikana, watu kupigwa risasi hii ni dalili kwamba kuna udhaifu mkubwa sana wa kitengo cha upelelezi katika Jeshi la Polisi. Ukiangalia mitandao hata leo hii watu wanasema kwamba kuna maeneo katika nchi yetu yanalindwa na majeshi kutoka Ruanda” –Joseph Selasini
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni