Kliniki hiyo ilihusu mbinu mpya ya matibabu bila upasuaji ambapo hapa Dr. Sandip Jhala anaelezea Namna ya Kutibu magonjwa ya uvimbe kwenye kizazi (Fibroids), Mgongo Kuuma (lower back pain) Kansa ya ini na tezi dume bila upasuaji.
Akitoa shukrani, Ofisa wa Apollo, Mr. Shahidi Parwez amesema watakuwa wakishirikiana na Hospitali mbalimbali nchini katika kutoa huduma mbalimbali za matibabu kwa Watanzania.
Pia, alimtambulisha mwakilishi wa Apollo Hospitali hapa nchini, Mr Alex Audax (+255766384851) ambaye anaratibu na kuwasiliana na Watanzania wanaoenda India kutibiwa katika hospitali za Apollo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni