
Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba amempiga kijembe Spika Job Ndugai ambaye ni shabiki wa Simba kuwa hakumuona uwanjani wakati timu yake ikifungwa 1-0 na Kagera Sugar na kuongeza kuwa kama isingelikuwa uwepo wa Rais John Magufuli basi viti vingeng'olewa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni