mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania
blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla
kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Ijumaa, 18 Mei 2018
Mchezo wa fainali ya Kombe la Mkuu wa Majeshi #CdfCup2018 unaendelea muda huu kwenye dimba la Uhuru, Dar es Salaam ukizikutanisha timu za Ngome na JKT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni