Kocha Didier Deschamps amewaingiza wachezaji wote hao kwenye kikosi cha wachezaji wa akiba, kama itatokea kati ya aliowateua watapata tatizo atawageukia Martial na Lacazette.
Mshambuliaji wa Chelsea, Olivier Giroud amebahatika kuingia kwenye orodha ya mwisho ya wachezaji 23 pamoja na Kylian Mbappe, Ousmane Dembele, Nabil Fekir, Thomas Lemar, Antoine Griezmann na Florian Thauvin.
KIKOSI KAMILI CHA UFARANSA KOMBE LA DUNIA
Makipa: Areola, Lloris, Mandanda
Mabeki: Hernandez, Kimpembe, Mendy, Pavard, Rami, Sidibe, Umtiti, Varane.
Viungo: Kante, Matuidi, N'Zonzi, Pogba, Tolisso
Washambuliaji: O. Dembele, Fekir, Giroud, Griezmann, Lemar, Mbappe, Thauvin.
WACHEZAJI WA AKIBA
Ben Yedder, Coman, Costil, Debuchy, Digne, Lacazette, Martial, Rabiot, Sakho, Sissoko, Zouma.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni