Inaelezwa kuwa mashtaka hayo ni zaidi ya 700 ambayo ni pamoja na vitendo vya udanganyifu, na utakatishaji wa fedha. Zuma amekana mashtaka hayo.
Jacob Zuma alishinikizwa kujivua Urais mwezi February, 2018 na chama chake cha African National Congress (ANC) na alikuwa akikabiliwa na kura ya tisa ya kutokuwa na imani naye kabla hata hajajiuzulu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni