Jumanne, 6 Machi 2018

Yanga wamtangaza Waziri Mwakyembe kuwa mgeni rasmi mechi ya Leo


Uongozi wa klabu ya Yanga umemtangaza Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo kuwa mgeni rasmi wa mechi ya leo dhidi ya Township Rollers ya Botswana.

Yanga wanacheza dhidi ya Wabotswana hao jioni ya leo katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kuanzia saa 10 kamili jioni.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni