Kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi jioni ya leo mjini Gaborone, Botswana kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika utakaofanyika Jumamosi hii.
Yanga inajifua ikiwa na kibarua kigumu dhidi ya Township Rollars Jumamosi hii ambapo mechi hiyo itapigwa kwenye Uwanja wa Taifa wa Botswana.
Ikumbukwe mchezo wa awali uliofanyika hapa Dar es Salaam, Yanga walikubali kichapo cha mabao 2-1. 15 Mar 2018
Tazama picha mbali za matukio namna Yanga walivyofanya mazoezi jana.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni