" Nawaomba watanzania mlipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu, na mdai risiti katika kila manunuzi na hata kwa wazabuni kila mtu awajibike kulipa kodi na kudai risiti wakati wa kununua na kuuza bidhaa au huduma" JPM.
Amewataka wakazi wa DODOMA kuchangamkia fursa zinazojitokeza katika mkoa wao na kuongeza kuwa kuna miradi mingi inakuja hivyo wasijibwete.
Amewataka Watanzania kuilinda amani, na kuheshimu misingi ya waasisi wa nchi hii.




Hakuna maoni:
Chapisha Maoni