
Hii ndio hali inavyoonekana katika baadhi ya maeneo ya Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi mkoani Morogoro ambako nyumba zimebomolewa, maghala ya kuhifadhia mazao yameingiliwa na maji, na miundo mbinu ya barabara kuharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani humo.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni