Jumatano, 7 Machi 2018

TANZIA: MBUNGE WA ZAMANI WA KIGOMA MJINI AFARIKI DUNIA

Aliyewahi kuwa mbunge wa Kigoma Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), na Mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa wa Kigoma, Dkt. Amani Kabourou amefariki dunia leo asubuhi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni