Alhamisi, 15 Machi 2018

SIMBA KWELI HAWATAKI MASIHARA, WAANZA KUJIFUA USIKU HUU KUWAWINDA AL MASRY JUMAMOSI









Baada ya kutua salama leo jijini Port Said, Misri, kikosi cha Simba kimeanza kufanya mazoezi usiku huu.

Simba wameingia mazoezini muda huu kuanza maandalizi ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry SC, mchezo utakaopigwa Jumamosi ya wiki hii.




Mechi ya awali iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Simba ililazimishwa sare ya mabao 2-2.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni