Alhamisi, 15 Machi 2018

RAIS MAGUFULI MOROGORO Rais Magufuli ameagiza mashamba yaliyonyang'anywa yakabidhiwe kwa wananchi.



Rais Magufuli ameagiza mashamba yaliyonyang'anywa yakabidhiwe kwa wananchi.
"Nilishasema mashamba yote yanayofutwa, wapewe wananchi bure, ni mali yao, walidhulumiwa tangu zamani kwa wakubwa fulani fulani kujimilikisha". Amesema Rais Magufuli.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni