Jumamosi, 10 Machi 2018

picha ya siku .mtoto huyu ametambua mchango mkubwa kwaakipiga saluti na kumshukuru mlinda amani wa Umoja wa Mataifa katika jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. MONUSCO .

Image may contain: one or more people, people standing, outdoor and nature

 Hapa ni Eringeti, Eneo la Beni Kivu kaskazini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mtoto akipiga saluti na kumshukuru mlinda amani wa Umoja wa Mataifa katika jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. MONUSCO .

Wanaume na wanawake hawa wenye ujasiri hushiriki lengo moja la kulinda wale walio katika mazingira magumu zaidi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni