Jumamosi, 10 Machi 2018

Huyu ni Kakakuona au #Pangolin Ni mnyama anayesafirishwa haramu zaidi kuliko mnyama yeyote ulimwenguni 🌍.


Kuanzia mwaka 2000, zaidi ya milioni 1 wamesafirishwa haramu. Barani Asia, nyama yake huuzwa kwa gharama kubwa na viungo vyake hutumika kama dawa kutibu maradhi.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kudhibiti Madawa ya Kulevya na Uhalifu, UNODC inataka wewe ukuze uelewa wa uwepo wao na hatari inayowakumba.


Katika maeoneo fulani, mnyama huyu huliwa na nyama yake ina gharama kubwa na viungo vyake hutumika kama dawa ya kutibu maradhi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni