
Rais wa Marekani, Donald Trump amekubali mualiko wa kiongozi mkuu wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un wa kufanya mkutano maalum.
Ingawa inaaminika kuwa mkutano huo utazungumzia masuala ya nyuklia lakini bado haiko wazi kile ambacho hasa Kim anataka kuzungumza na "hasimu wake", Trump.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni