mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania
blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla
kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Jumanne, 13 Machi 2018
Kikosi cha Yanga chawasili Botswana
Kikosi cha Yanga kimewasili salama jijini Gaborone, Botswana, na kufikia kwenye Hotel ya Crystal Palace iliyo na nyota 2.
Yanga wameondoka Tanzania alfajiri ya leo kuelekea Botswana kwa ajili ya
mchezo wa marudiano, Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Township Rollers,
utakaopigwa Jumamosi ya wiki hii.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni