Alhamisi, 15 Machi 2018

HUKUMU: Kamati ya maadili ya shirikisho la soka la Tanzania , TFF imemfungia maisha kutojihusisha na masuala ya soka Makamu wa rais wake Michael Wambura kutokana na makosa ya kimaadili katika masuala ya fedha ambayo yametafsiriwa kama kuishushia hadhi TFF.

Image may contain: 1 person, text

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni