Jumapili, 4 Machi 2018

Breaking News: Watano wafariki Hiace yagongana na Basi la New Force


WATU watano wamefariki dunia leo asubuhi baada ya basi la New Force lilikokuwa linatokea Msamvu kwenda Mikese kugongana na gari dogo la abiria (Hiace) lililokuwa linatokea Msamvu, mkoani Mogororo.  Pia watu kadhaa ambao idadi yao bado haijajulikana, wamejeruhiwa.

Mashuhuda wa ajali hiyo wanasema chanzo ni dereva wa gari hilo la Hiace kutaka kulipita gari la mchanga lililokuwa mbele ambapo lilijikuta likigongana uso kwa uso na basi hilo.
Image may contain: outdoorImage may contain: 9 people, outdoor

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni