Albert Msando alitangaza kumtetea Wema baada ya Wakili Kibatala kuandika barua ya kujitoa kumtetea.
Wema amefika Mahakamani hapo kwa ajili ya kufatilia kesi yake ya kukutwa na msokoto wa Dawa za Kulevya aina ya bangi akiwa na wafanyakazi wake wawili nyumbani kwake Ununio DSM.
Mbali na Wema, washtakiwa wengine wanaokabiliwa na kesi hiyo ya kutumia dawa za kulevya ni Angelina Msigwa na Matrida Abbas.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni