mwana wa liganga blog ni blog ya kutoa taarifa, matukio, yaliyotokea katika ulimwengu hususani katika nchi yaTanzania
blog hii inasimamiwa na mwandishi wa habari kitaaluma bwana Deus Thomas liganga.lengo ni kutoa taarifa kwa umma,kwa maendeleo ya taifa na Dunia kwa ujumla
kwa mawasiliano kuhusu mtangazo, habari, wasiliana nasi 0659944423,deusliganga@yahoo.com,mzeeliganga@gmail.com
Jumapili, 18 Februari 2018
Waziri Ndalichako,Masauni wafika nyumbani kwa Wafiwa kifo cha mwanafunzi aliyepigwa risasi
Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Prof Joyce Ndalichako
pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ,Injinia Hamad Masauni
wakimfariji Mama Mzazi wa marehemu Aqwilina jioni ya leo Mbezi Kimara
jijini Dar,Mwanafunzi huyo wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT)
amepoteza maisha baada ya kupigwa risasi Februari 16 mwaka huu eneo la
Mkwajuni jijini Dar es Salaam wakati Polisi walipokuwa wakizuiya
maandamano ya chama cha CHADEMA.Kufuatia kifo cha Mwanafunzi huyo
Serikali imesema itabeba jukumu la Mazishi yake.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni