Hilo amethibitisha Coleen muda mfupi uliopita kupitia mtandao wake wa Twitter.
Kupitia mtandao huo Coleen ameandika, “So Happy to welcome our Baby Boy …. Cass Mac Rooney into the world weighing a healthy 8lb 10oz. He is beautiful
Mtoto huyo tayari wamempatia jina la Cass Mac na anaungana na ndugu zake wengine ambao ni Kai (8), Klay (4) na Kit (2).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni