Nasser Al-Khelaifi
“Mwaka jana tulipoteza mchezo na Barcelona katika mazingira ambayo huwezi kutazamia, mwaka huu tena tunafungwa na Real Madrid kwa maamuzi mabovu ya waamuzi, Nadhani kuna jambo UEFA wanapaswa kujitafakari hususani timu za Hispania zinapocheza michuano mikubwa, Tumekuwa wahanga wa kufungwa yaani marefa wamekuwa kwenye matangazo ya timu za La Liga,“amesema Al-Khelaifi.
Hayo yamejiri baada mshambuliaji wa Real Madrid, Toni Kroos kwenye mchezo huo wa jana kuangushwa kwenye eneo hatari la PSG kitu kilichopelekea Refa kutoa maamuzi ya penati iliyozua utata.
Soma zaidi kuhusu mechi hicho -> Ronaldo amzima Neymar Bernabeu, Liverpool yatoa dozi ya mwaka UrenoMwaka jana March 8 kwenye marudiano ya mchezo wa 16 Bora kati ya Barcelona na PSG, Barcelona waliichabanga PSG goli 6-1 na kuwatupa nje ya michuano hiyo.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni